News and football analysis, including cats, results and stages.

Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Kandanda Screenshot
Update
Mar 27, 2023
Developer
Category
Installs
100+
Rate
0
App ya kandanda, kama ilivyo tovuti ya kandanda nia yake ni moja tu ambayo ni kukusanya taarifa zote zinazohusiana na mpira wa miguu, na kuziwasilisha kwa wasomaji wetu kutoka katika vyanzo rasmi kieweledi na kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lengo kuu muda wote ni tovuti kuwa sehemu ya habari zote zinazohusiana na mpira wa miguu Tanzania na Duniani, ikiwa pamoja na uchambuzi, matokeo, utabiri, ratiba, msimamo, video na picha, bila kusahau matukio yote yanayohusiana.

Kuwafikia wasomaji wetu katika njia zote ni moja kati ya madhumuni yetu pia , hii ikiwa na maana kuwafikia wanaosoma kupitia Simu, Komputa na hapo baadae katika machapisho.

Waandishi wetu wanawasilisha uchambuzi na mawazo yao katika soka la Tanzania na Nje unaweza kuwa sio msimamo wa tovuti, lakini msimamo rasmi wa tovuti utakuwa katika sehemu ya Tahariri.

Kwa maelezo zaidi au Malalamiko kuhusu makala au uandishi wetu, usisite kuwasiliana nasi kupitia anuani yetu.

Angalizo: Kwakuwa App inaonyesha tovuti nzima kama ilivyo, inaweza kuchukua muda kidogo katika ufunguaji wa kurasa.